Kama unahisi umefanya ngono bila kinga katika siku za hatari basi ujue uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa. Jinsi ya kujikinga au kuzuia mimba endapo ushafanya tendo hili ndani ya masaa 72 ni rahisi sana.
Kuna njia kuu mbili nyepesi ambazo hazihitaji utaalumu ili kuweza kuzuia mimba hio kwa kuitoa kabisa. Njia zenyewe ni hizi zifuatazo
- Kutumia Vidonge vya P2
Vidonge hivi ni maarufu sana kwenye matumizi ya kutoa mimba. Unaweza pata vidonge hivi kwa kwenda kwenye duka lolote la dawa na kuulizia kama vipo. Ukipata vidonge hivi basi meza mapema kabla ya masaa 72 hayajapita.
2. Kutumia dawa ya Tumbo aina ya flagile
Flagile au retrogyl ni aina ya dawa ya tumbo inayosaidia kuondoa maumivu au kuzuia kuharisha. Dawa hii pia ikitumika inaweza kutoa mimba yako. Kama ukikosa dawa ya P2, basi nunua flagile tumia kwa mda wa siku mbili ikiwa asubuhi mchana na jioni.(mara 3 kwa siku). Ukifanya ivyo ndani ya masaa 72 basi mimba hio itaweza kutoka.
Athari zake
Baada ya kutumia vidonge hivi kutoa mimba, Unaweza kutwa na shida za mda mfupi za kuchoka, kuumwa kichwa, kichefuchefu na mabadiliko ya siku za hedhi ambayo ni kawaida kabisa kitu ambacho kisikupe wasiwasi. Ikiwa ni shida kubwa na tofauti sana na hayo yaliyo elezewa hapa. Basi huna budi kumwona daktari kupata matibabu au ushauri kulingana na hali yako
You must Register or Login to post a comment