Kuna watu wanaamini njia ya kutumia mistari flani kama ya biblia au mashairi ya mapenzi ndo unaweza ukamshika maskio msichana. Hio njia inawezekana ndio ila kwa wasichana wadogo ambao wanaanza sekondari au wanaanza kuvunja ungo.

Itumie mbinu hii kwa wanamke wote maishani mwako ,utawala mpaka basi, utawala wengine hata siku hiyohiyo.

Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua. Ni kujiamini. Ukishajiamini unatakiwa uwe huru wakati wa kuongea nae na usiwe na uoga wowote wa kusema hisia zako kwako kwake. Cha tatu usijisifie kuwa wewe ni bora au unahela au magari mangapi au kwenu wewe mtoto wa tajiri gani. Utaonekana mshamba. Acha sifa zako aje azione mwenyewe.

Kwa kuanza maongezi baada ya kukupa namba yake unaweza mwambia mambo vipi? vp jana ulifika salama, akijibu unaweza mwambia poa,. mm nafanya hiki wewe unafanya nini, akijibu hapo hapo unapata story kutokana na anachosema.

Kitu cha pili unatakiwa umsome msichana na utambue udhaifu wake, Hali ukishajua udhaifu wake basi jitahidi kumsifia kumwonesha kwamba hana shida yupo sawa au kama anashida flani ambayo anahitaji kumsaidia ambayo ipo katika uwezo wako basi msaidie. Mara nyingi shida za wanawake huwa ni pesa hivyo basi kama pesa aliokuomba ipo ndani ya uwezo wako na wewe unania kweli ya kumpata msichana huyo basi mpe.

Ukishafanya hivyo usiwe na papara zozote unaweza ukatulia yeye mwenyewe akaja akakutafuta siku za mbele zijazo. Wewe usiangaike kumtafuta, Ila yeye akikuuliza vipi mbona kimya mwambie tu nilikua bize na kazi zangu ila siku flani za mbele kama weekend hivi tufanye mpango tuonane.

Akikubali kuonana tu pale pale mnaweza anza na maongezi ya kawaida na wewe bila uoga muombe uchi afu msikilizie. Kawaida huwa hawachomoi sana sana atakupa siku au tarehe ya kuweza kufanya ivyo. Hapo hapo wakati unamwomba unaweza kuwa unashika shika kumtia nyege kama ukikuta mwanamke asie na mambo mengi anaweza kukupa uchi siku hio hio.

Basi ni ivyo tu, Kabla ya kupewa unatakiwa ujishushe na kujitoa sana kwa huyo mwanadada. Mwengine anaweza akawa tu anakupa mitihani yake midogo then ndo aje akupe. Kwaio unatakiwa uende nae sawa.

Hakikisha uyo msichana unae mtaka akupe uchi ndani ya wiki mbili. Ukichelewa zaidi ya hapo huyo atakua rafiki yako na itakua ngumu kwako wewe kuja kumpata. Kiufupi mazoea hayatakiwi kuwa mengi kabla ya kumgusa huyo binti.

Nikupe mfano hai mmoja, Mimi nishawahi kwenda saloon kunyoa. Kufika pale nikakutana na msichana nae alikua ameenda kunyoa. Kwaio wote tukawa tupo kwenye foleni tunasubiri kunyolewa. Mimi nilivyo muona nikamtamani nikasema acha nijiongeze

Mimi nikamsalimia vp? Kajibu poa nikamzingua mbona umekuja kunyoa nshazoea wanawake wazuri kama nyie mnasuka (Kasifa kidogo nikampa). Akacheka basi tukawa tunaongea mambo ya kawaida pale mm nikamwambia pale pale nimekupenda natamani uwe rafiki yangu naomba namba yako. Yeye hakusita maana tulikua tunaongea vizuri. Akanipa ile namba nikabeep akapata na ya kwangu.

Baada ya pale kila mtu aliondoka kivyake, mimi usiku nikamsalimia na kumpa maneno kama nilivyo kuandikia mwanzoni. Yeye akanijibu yupo home anapika sijui nikamuuliza unapika nini akajibu tukawa tunachat namweleza mm napenda nyama choma ya sehemu flani akajibu na yeye anapenda nikamwambia bas tupange siku mm ntakupeleka. Ikawa simple ivyo tu tulivyo onana tena nikaanza mshikashika nikamwomba uchi mbona alinipa. Akawa demu wangu kabisa kwa mda mrefu tu.

Na wengine wengi nimetumia njia hio hio nikawapata. Hivyo kijana ukitaka msichana wewe jiamini na usivunge kuelezea hisia zako. Cha msingi elezea kistaarabu na usitumie lugha kali. Ukifanya hivyo pia hakikisha mnakua wenyewe na usifanye matangazo kwa rafiki zako kabla ya kumpata. Akisikia unamtangaza huto mpata kabisa