Je Unahisi umepata mimba? Una uhakika kama kweli una mimba? Kabla ya kuanza kutoa mimba ukiwa ukiwa nyumbani, hakikisha unakua na uwelewa wa uhakika wa vitu hivi.

Hakikisha kama ni kweli umepata mimba

Je unahakikisha vp? Ni rahisi sana. Unatakiwa uende kwenye duka lolote la dawa la karibu yako na uulizie kipimo cha kujua una mimba au laa. kawaida kinaitwa Pregnancy Test kit.

Ukisha chukua kipimo hiki nenda nacho nyumbani alafu kajipime. Kawaida kipimo huku hufanywa kwa njia ya mkojo. Utaweka mkojo wako kidogo kulingana na maelekezo ambayo yanatolewa na kipimo hicho kisha subiri matokeo. Ukiona mistari ya kipimo imetokea miwili basi hapo utakua na uhakika unamimba tayari hali ukiona mstari umetokea mmoja basi jua wewe huna mimba kwa wakati huo.

Kama ukiona mstari mmoja usichukue hatua yoyote, subiri tena wiki mbili alafu pima tena kutumia kipimo kipya(Pregnancy test Kit). Ukifanya ivyo utapata jibu la uhakika kama una mimba au laa kutokana na matokeo ya kipimo chako.

Kama kipimo kinasema una mimba unafanyaje?

Hapa itategemeana na mimba yako ina muda gani.

Kama wewe unajua mimba yako haizidi mwezi mmoja basi hii inakua rahisi, Unaweza kwenda kwenye duka la dawa na kuulizia vidonge vinavyo itwa P2. Tumia ivyo kulingana na maelekezo basi mimba hio itatoka.

Ishara ya kujua kama imetoka ni kwamba utaona damu za bleed au hedhi zitaanza kutoka baada ya siku chache mbeleni.

Kama mimba yako inazidi mwezi mmoja. Unashauriwa kuacha mtoto tumboni na kufatilia clinic kwa ajili ya kukuandaa uzae salama. Ila kama wewe umedhamilia kabisa hauhitaji kuzaa mtoto huyo, njia salama na ya uhakika ni kumwona daktari akusaidie kumtoa mtoto huyo.

Usitumie vidonge kama unajua mimba ilishazidi mwezi mmoja. Ukifanya ivyo utamwaribu mtoto na kutengeneza mazingira magumu kukusaidia kutoa hio mimba au kutia hitilafu kwa huyo mtoto kama akizaliwa.

Ukitumia vidonge na mimba isipotoka baada ya hapo ukaenda kutumia njia ya kumwona daktari, unaweza pata shida ya kutokwa kwa damu nyingi na shida kubwa na ikiwa bahati mbaya unaweza kufa.

Ukitumia vidonge baada ya mwezi mmoja na mtoto asipotoka na wewe uka amua kuzaa badae, unaweza zaa mtoto mwenye shida ya mtindio ubungo au nyengine zinazo fanana.

Hivyo basi kulingana na haya yote yaliyo semwa hapo juu, Jiangalie wewe upo kundi gani na uanze kuchukua uamuzi sahihi.