Shipping schedule from Japan to Dar es salaam 2025

Shipping schedule gives the information of the ships that are travelling from place to the other. Its something that is very important to know if you are expecting the delivery of goods from a certain country. Shipping schedule will allow you to know the which ship to board your goods as per your plans since…

TPA Shipping schedule

TPA stands for Tanzania port authority. This is an institute responsible for managing all ocean ports and lake ports in Tanzania. Every port in Tanzania operate under the command and authority of this institute. TPA acts as the owner of all activities that happen in any port in Tanzania. Example is responsible for licensing companies,…

Dolphin Hotel Tanga

Dolphin hotel is considered one of the best hotel in Tanga loved by tourist and business people. It features all the necessities required such as those in a 5 star hotel. If you are visiting Tanga and wish to find a cool place to stay this will be the one for you.  Located in Tanga,…

Namna ya kuangalia bima ya gari kwa simu (Bima Verification)

TIRA (Tanzania Insurance Regularatory Authority) ni taasisi inayo husika na BIMA zote tanzania. Taasisi hii imeundwa mwaka 2009 kwa lengo la kusimamia mawakala wa bima kufanya kazi kwa viwango vinavyo takiwa. Kwa upande wa magari kuna bima aina mbili ambazo ni third party na comprehensive. Third party ni bima nafuu ambazo kawaida kwenye magari mengi…

Jinsi ya kujua salio NSSF

NSSF kirefu chake ni National Social Security Fund. Hii ni taasisi ambayo inahusika na kukusanya kiasi cha mishahara ya wafanyakazi, kuwekeza kwenye miradi mbali mbali na kulipa wafanyakazi endapo watastaafu kazi au kusimamishwa kazi ili kuwasaidia kipindi hawatokua na ajira. Kama umesajiliwa na mfuko wa NSSF unaweza tumia njia ifuatayo kujua salio lako: Kutumia simu…

Jinsi ya kuangalia namba ya NIDA online

Nakala hii itakuelekeza namna ya kupata namba ya nida na kuangalia kwa njia ya mtandao endapo utakua umesahau au kujua kama imeshatoka tayari baada ya usajili. Namba ya nida ni muhimu sana katika nchi ya Tanzania. Endapo wewe ni mwananchi Tanzania namba ya nida imekua kama lazima uwe nayo ili uweze pata huduma mbali mbali….

Magazeti ya Leo

Ingia hapa upate shortcut ya habari za magazeti yenye habari mpya za Leo. Taarifa hizi utazipata Kila siku kati ya magazeti ya Millardayo, Mwananchi, Mwanasport, Daily news, Majira, Bingwa, Nipashe, Tanzania Daima, HabariLeo n.k Link zifatazo zitakupa taarifa za habari siku ya leo Gazeti la Nipashe https://www.ippmedia.com/sw/nipashe Gazeti la Millardayo millardayo.com Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/…

Jamiiforums

Jamiiforums ni mtandao ambao unawapa nafasi watanzania na nchi za jirani kutoa Hoja na kuchangia mada kuhusu matukio na maendeleo ya jamii. Lengo kuu la huu mtandao ni kuhusisha mijadala ya kisiasa, sports au michezo, mapenzi, kusaidiana mawazo ya kutatua changamoto mbali mbali katika maisha na vyengine vingi. Kujiunga ni bure na ni rahisi kutumia….

Tarura Parking fees

Tanzania kwa sasa imeamua kuama mfumo wa kizamani wa kulipia cash wakati wa parking na kuamia kulipisha kidigitali kwa njia ya simu. Hii yote imeletwa kutokana na changamoto kubwa iliokua ikisababisha pesa nyingi ya serikali kutofika serikalini. TARURA ni Taasisi ya serikali ambayo inahusika na ukusanyaji wa hizi fedha za parking barabarani. Nakala hii itakuelekeza…

tra tanzania
TRA Calculator

Tanzania Revenue Authority (TRA) is a semi autonomous government entity responsible for Tax collection in Tanzania. All registered companies, employees and businesses which earn money in Tanzania are being evaluated and estimated for certain the amount Tax according to their earnings. Here are the shortcuts to get into Tools which will help you to calculate…

Dawa za Asili
en_USEnglish