Jinsi ya kuandika barua ya maombi ya kazi
Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi Ajira Portal | Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Utumishi Kupata kazi serikalini ni ndoto ya wahitimu wengi wa vyuo vikuu nchini Tanzania. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ajira za serikali mara nyingi huambatana na usalama wa ajira, mishahara mizuri, na mafao bora kwa waajiriwa. Hata hivyo, ili…